Wasiliana nasi
MMM
Mrejesho
ENGLISH
KISWAHILI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mambo ya Ndani
Prisons Corporation Sole (PCS)
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia Yetu
Dira na Dhamira
Misingi Mikuu
Utawala
Muundo wa SHIMA
Wajumbe wa Bodi
Menejimenti
Huduma zetu
Kilimo na Mifugo
Viwanda vidogo na vya kati
Ujenzi
Ongoing Construction Project
Completed Construction Project
Kampuni ya Ulinzi ya SHIMA
Bima
Fursa
Miradi ya Ubia
Zabuni
Ajira
Machapisho
Sheria
Miongozo
Kituo cha Habari
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Taarifa kwa Umma
Hotuba
Mawasiliano
Wasifu wa SHIMA
Wasiliana nasi
MMM
Mrejesho
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Denis Lazaro Londo(katikati), leo amefanya ziara ya kikazi katika Kiwanda cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam, yenye lengo la kukagua utekelezaji wa shughuli za uzalishaji pamoja na kuangalia fursa za maboresho katika mifumo ya kiutendaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza (SHIMA) Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP) Omary Msepwa leo Agosti 2,2025 ametembelea banda la Jeshi la Magereza lilipo katika viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma. Aidha ACP Msepwa ametoka wito kwa wananchi kutembelea banda hilo ili kujifunza na kujionea bidhaa mbalimbali zinazo tengenezwa na Jeshi la Magereza. Pamoja na mambo mengine ACP Msepwa ameambatana na maafisa waandamizi wa Shirika la Magereza (SHIMA) ACP. CPA. Evance Rugeyamba pamoja na ACP. Flavian M. Justine
Morogoro, Mei 31, 2025 – Shirika la Magereza (SHIMA) kupitia Kiwanda chake cha Kusindika Maziwa cha Kingolwira, kimetunukiwa tuzo ya Mzalishaji Bora wa Maziwa na Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB), katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa yaliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege, mkoani Morogoro.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Jeremiah Katungu, Oktoba 03, 2024 amekutana na Watendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali Jeshi la Magereza (SHIMA) wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo, Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP) Omary Msepwa, kwaajili kujadili masuala mbalimbali ya kiutendaji wa Shirika hilo ili liweze kuleta tija zaidi katika Uzalishaji.
Ujenzi wa jengo la Takukuru mkoani Iringa eneo la gangilonga likiwa katika hatua za ukamilishaji
The Institute of Directors in Tanzania(IoDT) provide Board Induction and Capacity Building Training for Board Members and Senior Management Team of the Prisons Corporation Sole (PCS) held at Kilimanjaro(Kilimanjaro Leather International Industries Company)
MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU CP SALUM RASHID HAMDUNI AKIKAGUA UJENZI WA JENGO LA TAKUKURU MKOANI IRINGA ENEO LA GANGILONGA
Ununuzi na Makabidhiano ya Trekta
Maize Farm Idete Agricultural Project
PCS Livestock Farm in Mollo — Sumbawanga
Previous
Next
ACP Abdallah Omari Msepwa
KAIMU MTENDAJI MKUU
Karibu
|
Wasifu
Habari Mpya
Tazama Zaidi
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AFANYA ZIARA YA KIKAZI KIWANDA CHA MAGEREZA UKONGA
10 Dec, 2025
Mwenyekiti wa Bodi SHIMA aongoza Kikao maalum, apiga picha ya pamoja na viongozi wakuu
25 Sep, 2025
Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 2025
04 Aug, 2025
SHIMA yapata Tuzo ya Mzalishaji Bora wa Maziwa Katika Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa 2025
02 Jun, 2025
Matangazo
Tazama Zaidi
Uchimbaji wa Visima vya Maji (Borehole Drilling)
28 Oct, 2025
Taarifa kwa Umma Mradi wa Machimbo ya Chokaa WazoHill na Kokoto Msalato
19 Jan, 2024
KINGOLWIRA DAIRY FARM MILK
15 Aug, 2023
Feedbacks
Mrejesho, Malalamiko au Wazo
Wasilisha