Miradi ya Ujenzi Inayoendelea

Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro umefikia hatua ya umaliziaji. Kwa sasa kazi zinazoendelea ni za ukamilishaji wa muundo wa jengo ikiwemo ujenzi wa kuta za juu, usafishaji wa eneo la kazi, na maandalizi ya hatua za mwisho kama kupaua, kupiga plaster na ufungaji wa milango na madirisha.

 

 

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo