Imewekwa: 29 Jan, 2023

Tumepata ugeni kutoka nchi/visiwa vya Comoro wamefika kwa ajili ya kufanya ziara katika kiwanda cha Chumvi Mtwala Waliofika ni
1.Balozi wa Tanzania nchini Comoro.
2.Naibu balozi wa Comoro nchini Tanzania
3.Gavana/Mstahiki Meya wa kisiwa cha Mgazija.
4Wafanya biashara 25 toka Comoro.
Kwa ujumla wamefurahia ziara yao hapa hasa baada ya kuona mchakato mzima wa kuzalisha,kuosha,kuhifadhi ,kukausha na kusaga chumvi.Wameahidi kuanza kuchukua chumvi kutoka hapa kwetu maana wao wamekuwa wakiagiza chumvi kutoka ITALIA.