
Huduma zinazotolewa na Mtambo huu kupitia Shirika la Magereza (SHIMA)
-
Uchimbaji wa Visima vya Maji (Borehole Drilling)
-
Mtambo huu hutoa huduma za kitaalamu za uchimbaji wa visima virefu na vifupi kwa matumizi ya taasisi, jamii, na watu binafsi katika maeneo mbalimbali nchini.
-
-
Huduma za Upimaji wa Eneo (Site Surveying)
-
Kabla ya uchimbaji, wataalamu wa Magereza hufanya uchunguzi wa awali (geophysical survey) ili kubaini uwepo na kina cha maji ardhini.
-
-
Ufungaji wa Pampu na Mfumo wa Usambazaji Maji (Pump Installation & Water System Setup)
-
Baada ya visima kuchimbwa, Shirika la Magereza hutoa huduma za kufunga pampu (manual au electric/solar) pamoja na miundombinu ya mabomba kwa usambazaji wa maji.
-
-
Matengenezo na Ukarabati wa Visima (Maintenance & Rehabilitation)
-
Huduma ya ukarabati wa visima vilivyokauka au vilivyoharibika, ikijumuisha kubadilisha pampu, kusafisha visima na kurekebisha mfumo wa usafirishaji maji.
-

