Imewekwa: 29 Jan, 2023

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt Ashatu Kijaji januari 7, 2023 ametembelea Gereza la Chumvi Mtwara ambapo amejionea shughuli mbalimbali za uzalishaji wa chumvi katika Kiwanda hicho kinachomilikiwa na Shirika la Magereza, mkoani Mtwara.