Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza
Imewekwa: 05 Oct, 2024
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Magereza Msalato jijini Dodoma, kwaajili ya kukutana na kufanya Kikao na Menejimenti ya Shirika la Uzalishaji Mali Jeshi la Magereza ( SHIMA) na Wakuu wa Magereza Mikoa na Wakuu wa vituo vya Magereza Nchini Vinavyo tekeleza Miradi mbalimbali ya Shirika hilo, Oktoba 04, 2024.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo