Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 2025
Imewekwa: 04 Aug, 2025
Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo 2025

‎Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza (SHIMA) Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP) Omary Msepwa leo Agosti 2,2025 ametembelea banda la Jeshi la Magereza lilipo katika viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma.

‎Aidha ACP Msepwa ametoka wito kwa wananchi kutembelea banda hilo ili kujifunza na kujionea bidhaa mbalimbali zinazo tengenezwa na Jeshi la Magereza.

‎Pamoja na mambo mengine ACP Msepwa ameambatana na maafisa waandamizi wa Shirika la Magereza (SHIMA) ACP. CPA. Evance Rugeyamba pamoja na ACP. Flavian M. Justine

Kamishna mstaafu wa Jeshi la Magereza (CP) Tusekile Mwaisabila leo Agosti 3,2025 ametembelea banda la maonesho la Magereza katika viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo