Imewekwa: 31 Jan, 2023
Ofisi ya Msajili wa Hazina imetoa mafunzo ya Kuwajengea uwezo watendaji wa Shirika la Magereza (SHIMA) kuhusu Mfumo wa Maandalizi ya Bajeti (PlanRep)