ZIARA YA WAJUMBE WA BODI
Imewekwa: 15 Aug, 2023
ZIARA YA WAJUMBE WA BODI

Tarehe 13 August Jumapili, Bodi ya SHIMA ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi IGP Mstaafu Said Mwema, Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika wamefanya ziara ya kukagua miradi ya KPF, Mbigiri na Mradi wa Ubia na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF (Mkulazi). Ziara hiyo ililenga kuona shughuli uendeshaji wa  mradi kwa ujumla.

Wajumbe wakipata ufafanuzi wa shughuli zinazoendelea kwenye kiwanda cha kuchakata maziwa cha KPF

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo