Imewekwa: 04 Jul, 2023
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Magereza (SHIMA) CPA, Moremi Andrea Marwa ametembelea Banda la Magereza katika Maonesho ya 47 ya kibiashara ya Dar es Salaam(Sabasaba) ambapo amepata fursa ya kuangalia bidhaa zilizopo na kutoa pongezi kwa watendaji kwa ushirikiano wa kufanya kazi kwa bidii, hivyo kupelekea kuzalisha bidhaa zenye ubora.