Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Mzee Ramadhani Nyamka, amefungua kikao Cha Shirika la Uzalishaji Mali Jeshi la Magereza (SHIMA)
Imewekwa: 15 Jul, 2023
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Mzee Ramadhani Nyamka, amefungua kikao Cha Shirika la Uzalishaji Mali Jeshi la Magereza (SHIMA)

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Mzee Ramadhani Nyamka, amefungua kikao Cha Shirika la Uzalishaji Mali Jeshi la Magereza (SHIMA) katika ukumbi wa Suleiman Mzee Makao Makuu ya Jeshi la Magereza jijini Dodoma.

Akizungumza na Wajumbe wa kikao hicho CGP.Nyamka amewataka watendaji hao kushirikiana na Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo CPA. Moremi Andrea Marwa ili kuleta mfanikio chanya katika shirika Ndani ya Shirika.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo