Imewekwa: 10 Oct, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza (SHIMA) CPA Moremi Andrea Marwa akipokea Jumla ya Trekta kumi (10)
aina ya NewHoland H 90 yaliyonuliwa kwa ajili ya Miradi ya Kilimo iliyochini ya Shirika la Magereza (SHIMA) katika
makabidhiano hayo yaliyo fanyika Jijini Arusha wakiwa pamoja na Mkuu wa Magereza Mkoa Arusha, Mkuu wa Gereza Arusha,
opareta wa Matreka hayo pamoja na Watendaji wa SHIMA.