Ununuzi na Makabidhiano ya Trekta
Imewekwa: 10 Oct, 2023
Ununuzi na Makabidhiano ya Trekta

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza (SHIMA) CPA Moremi Andrea Marwa akipokea Jumla ya Trekta kumi (10)

aina ya NewHoland H 90 yaliyonuliwa kwa ajili ya Miradi ya Kilimo iliyochini ya Shirika la Magereza (SHIMA) katika

makabidhiano hayo yaliyo fanyika Jijini Arusha wakiwa pamoja na Mkuu wa Magereza Mkoa Arusha, Mkuu wa Gereza Arusha,

opareta wa Matreka hayo pamoja na Watendaji wa SHIMA.

Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo